Numbers 7:1

Sadaka Wakati Wa Kuweka Wakfu Maskani Ya Bwana

1 aMusa alipomaliza kuisimamisha Maskani, aliitia mafuta na kuiweka wakfu pamoja na samani zake zote. Pia alitia madhabahu mafuta na kuiweka wakfu, pamoja na vyombo vyake vyote.
Copyright information for SwhKC